𝔖 Bobbio Scriptorium
✦   LIBER   ✦

Cover of Mlango Wa Tatu (Three Doors Down)

Mlango Wa Tatu (Three Doors Down)

✍ Scribed by Michele Sudler


Book ID
111201686
Publisher
Kensington
Year
2012
Tongue
English
Weight
132 KB
Category
Fiction
ISBN-13
9781585716562

No coin nor oath required. For personal study only.

✦ Synopsis


Kayla, mama mwenye uzoefu wa mapenzi yasiyodumu, ameapa kutokuwa na mwanaume milele, kama anavyodai. Hayo yalitokea kabla hajakutana na mwanaume aliyekuwa jirani mlango wa tatu kutoka kwake. Sasa hawazi kingine ila mpenzi wake Marley Jarnette. Mwenyewe Marley anaelewa kuwa ana safari ndefu kumpata Kayla kimapenzi, baadaye anagundua kuwa ana washirika wengi wa kumsaidia katika safari hiyo ndefu: Kayla ana binti zake watatu, ambao wamechoshwa na maisha wanayoishi hasa kwa ahadi laghai za mama yao. Je! Msaada wao kwa Kayla utamuwezesha agundue kuwa anamuhitaji Marley kufanikisha maisha yake?